
Ni
kawaida yangu kila siku kukuletea stori zote zinazochukua headlines leo
November 24 2016 kama wewe utakuwa ni mpenzi wa kuzifuatilia stori zote
za Entertaiment basi nisingependa upitwe na hii U Heard kutoka kwenye
XXL ya Clouds FM, Soudy Brown ametukutanisha na hii ya wake wawili wa
Dancers wawili kutoka WCB kuripotiwa kuingia kwenye beef.
Sroti hizo
zinaripOtiwa kuanza katika mitandao ya kijamii ambapo wawili hao ambao
ni mke wa Moze Iyobo (Aunty Ezekiel) na mke wa Dummy Utamu (Juju)
kurushiana vijembe kwenye account zao za Instagram
‘Mimi
naona hakuna tatizo sema yale ni mambo ya kike ndio maana mimi na Dummy
tumekaa kimya kama itahitajika sisi kuingilia kati tutafanya hivyo
lakini mimi na Dummy hatuna tatizo lolote‘>>>Moze Iyobo
0 comments:
Post a Comment