U-Heard-: Diamond Platnumz akataa zaidi ya Bil 2 kama MAHARI ya Tiffah



Ni katika mitandao ya kijamii ndiko ambako ilisambaa picha iliyowaonyesha watoto wa wakali wa music Tanzania, mtoto wa Alikiba na mtoto wa Diamond Platnumz na aliyehusika na uandaaji wa picha hiyo kudai kuwa anatamani watoto wa mastaa hao wakikua waje kuwa wapenzi.
Instagram photo by Udaku Special_BNCckCAgEo2 - JPG
Hiyo haikuwa issue kubwa, issue kubwa ni pale kipaza cha U-Heard kilipomnyaka mtu mzima Diamond Platnumz na kutaka kujua ni kiasi gani cha pesa ambacho anaweza kukiridhia ili kumuozesha mwanae Tiffah kiroho safi.
Diamond Platnumz amefunguka kuwa Dola za kimarekani Million 1 ambazo ni sawa na pesa za kitanzania zaidi ya Billion 2 hazitoshi kuwa mahari ya binti yake Tiffah.
Sitaki kukunyima uhondo, play hii video hapa chini kuweza kumsikiliza yeye mwenyewe Diamond Platnumz akifunguka juu ya hilo.
Share on Google Plus

About tanzania gospel music

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment