Kimenuka: Diamond na Ommy Dimpoz warushiana vijembe vya aibu Instagram

Nilijua hili linaweza kutokea muda si mrefu. Baada ya Rich Mavoko na Diamond kuweka utani katika wimbo wao mpya Kokoro tuhuma za meneja wao, Sallam kuzima mic wakati Alikiba anatumbuiza kwenye tamasha la Mombasa Rocks mwezi uliopita na post ya Diamond kuwa ‘Kushindana na Wasio Jua Raha sana hahahahahaham #Hawatoweza, Ommy Dimpoz amejibu.
ommy-na-diampnd
Ommy Dimpoz amejibu kwa kuandika:
Wazee Wa Kupanik Mbona Kama Povuuu Linawatoka #TeamMzikiMzuri VS #TeamUjanjaUjanja
#Kajiandae
#KabaliYao
#WeDontBuyViews
#MeNilijuaTunafanyaMzikiKumbeVitaaa
#NawajuaWazeeWaKuchambaNataniaTu
#PiaNawajuaKwaMitusiLakiniNishajiandaa
#NawaachiaUwanjaMweupeeeWalaSiblokuMtu
#NachangamshaBarazaKidogoooo
Kwenye post hiyo Ommy ametupa shutuma kwa Diamond kuwa hununua views Youtube na kwamba hufanya muziki wa ujanja ujanja.
Diamond alijibu kwa post iliyobeba tuhuma nzito kwa Ommy Dimpoz.
“Mtoto wa Kiume kumchukia Mwanaume Mwenzio kisa Kakataa kukupumulia nayo ni #KOKORO.”
Kupumuliwa ni msemo wa mtaani unaomanisha mwanaume kuingiliwa kinyume na maumbilie. Kwa miaka takriban miwili sasa Diamond na Ommy Dimpoz waliowahi kuwa maswahiba hawaelewani.
Share on Google Plus

About tanzania gospel music

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment